Ugonjwa wa ngiri ni Ugonjwa unaowapata wanaume Ugonjwa huu umegawanyika katika aina nyingi ila Leo ntazungumzia aina mbili tu za ngiri, ambazo in hizi zifuatazo:-
i/.ngiri maji
ii/.ngiri henia
NGIRI MAJI
ngiri maji ni ngiri ambayo humpata mtu kwa kupata maumivu makali sehem za mbavuni, chini ya kitovu NA katika sehem za siri.
Tiba ya huu ugonjwa zipo nyingi ila Leo ntakutajia chache.
Ukikutwa na tatizo hili basi tafuta moja kati ya hizi dawa utumie kuchemsha kisha unywe.
IN..SHAA..ALLAH utapona.
Dawa zenyewe ni hizi:-
shubiri , AROVELA , mjafari , mwarobaini.
Tafuta moja kati ya hizi chemsha unywe utapona
NGIRI HENIA
hii nia aina ya ngiri ambayo humpata mtu kwa kupata maumivu makali zaidi katika mwiliwake hasahasa katika sehemu za siri chini ya kitovu n.k ila kubwa zaid henia ikimpata mtu, basi kuna mshipa huwa unavimba usawa wa chini ya kitovu ila kwa pemben.
na mshipa huu ukikuvimba tiba yake kuu ni KUFANYIWA OPERESHEN.
kwa maelezo zaidi wasiliana nami
Dr~mangulingwa
Kupitia namba hizi:- 0620747554
au tembelea ukurasa wetu wa YOUTUBE kwa jina la TIBA ZA ASILI TANZANIA
Kupitia link hii
http://www.youtube.com/@tibazaasilinamangulingwatv2024


No comments:
Post a Comment
'Type your comment below...'